-
“Wao Si Sehemu ya Ulimwengu”Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
Wachache, kama vile Remigio Cuminetti, katika Italia, walikataa kuvaa yunifomu ya jeshi. Serikali ya Italia katika wakati huo haikutoa ruhusa kwa yeyote ambaye kwa sababu ya dhamiri hangetwaa silaha. Alijaribiwa kihukumu mara tano na kufungwa katika magereza na katika hospitali ya wagonjwa wa akili, lakini imani na azimio lake vilidumu bila kutikiswa.
-
-
“Wao Si Sehemu ya Ulimwengu”Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
[Picha katika ukurasa wa 191]
Baadhi yao walikwenda katika mahandaki wakiwa na bunduki, lakini wengine, kutia ndani A. P. Hughes wa Uingereza, na R. Cuminetti wa Italia, walikataa kujihusisha kama huko
-