Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Uthibitisho wa Mapema wa Vitabu Vya Biblia Vinavyokubalika
    Mnara wa Mlinzi—2006 | Februari 15
    • Ludovico Antonio Muratori (1672-1750), mwanahistoria Mwitaliano aliye maarufu sana, ndiye aliyegundua hati hiyo katika Maktaba ya Ambrosian, huko Milan, Italia. Muratori alichapisha hati hiyo mwaka wa 1740, nayo ikapewa jina lake, Hati ya Muratori. Yaelekea kodeksi hiyo ilitayarishwa katika karne ya nane katika nyumba ya watawa ya Bobbio, karibu na Piacenza, kaskazini mwa Italia. Ilihamishwa hadi kwenye Maktaba ya Ambrosian mwanzoni mwa karne ya 17.

      Hati ya Muratori ina mistari 85 ya maandishi kwenye ukurasa wa 10 na 11 wa kodeksi hiyo. Maandishi ya hati hiyo ambayo yaelekea yalinakiliwa na mwandikaji ambaye hakuwa makini sana, yameandikwa katika Kilatini. Lakini baadhi ya makosa ya mwandikaji huyo yamegunduliwa kwa kuilinganisha hati hiyo na maandishi hayohayo ya hati nne za karne ya 11, na karne ya 12.

  • Uthibitisho wa Mapema wa Vitabu Vya Biblia Vinavyokubalika
    Mnara wa Mlinzi—2006 | Februari 15
    • [Picha katika ukurasa wa 14]

      Maktaba ya Ambrosian

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki