Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Sehemu ya 1—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya Dunia
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Louis Facey na H. P. Clarke, waliosikia habari njema wakati walipokuwa wakifanya kazi katika Kosta Rika, walirudi Jamaika katika 1897 ili kushiriki imani yao mpya waliyoipata miongoni mwa watu wao wenyewe. Wale waliokubali kweli huko walikuwa wafanyakazi wenye bidii. Katika 1906 pekee, kikundi hicho katika Jamaika kiligawanya trakti zipatazo 1,200,000 na vipande vingine vya fasihi.

  • Sehemu ya 1—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya Dunia
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Katika 1913, Ndugu Russell mwenyewe alitoa hotuba katika Panama, Kuba, na Jamaika. Majumba mawili yalijaa pomoni kwa ajili ya hotuba ya watu wote aliyotoa katika Kingston, Jamaika, na bado watu 2,000 hawakuruhusiwa kuingia kwa kutokuwa na nafasi. Vyombo vya habari vilitaja uhakika wa kwamba msemaji hakusema lolote juu ya pesa na michango haikukusanywa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki