-
Jina la Mungu na Jitihada za Alfonso de Zamora za Kutokeza Maandishi SahihiMnara wa Mlinzi—2011 | Desemba 1
-
-
Zamora alivunjwa moyo sana na mashambulizi ya Tavera hata akakata rufaa kwa papa. Kwa sehemu, barua yake ilisema: “Mtakatifu, tungependa kukuomba utusaidie . . . na kutulinda kutokana na adui yetu askofu wa Toledo, Don Juan Tavera. Kila siku, bila kuacha, anatutesa kwa njia nyingi. . . . Tunahisi uchungu mwingi sana, kwa kuwa machoni pake sisi ni kama wanyama wanaopelekwa machinjoni. . . . Mtakatifu, ikiwa utasikiliza ombi letu, ‘Yahweh atakuwa mlinzi wako na ataulinda mguu wako usitekwe.’ (Met. 3:23)”b
-
-
Jina la Mungu na Jitihada za Alfonso de Zamora za Kutokeza Maandishi SahihiMnara wa Mlinzi—2011 | Desemba 1
-
-
b Inapendeza kuona kwamba Zamora alitumia jina la Mungu, bali si jina la cheo, katika ombi lake kwa papa wa Roma. Katika tafsiri ya Kihispania ya ombi la Zamora, jina hilo ni “Yahweh.” Haijulikani kabisa jinsi jina hilo lilivyokuwa katika maandishi ya Kilatini.
-