Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Uaminifu-Maadili wa Ayubu Wathawabishwa
    Mnara wa Mlinzi—1998 | Mei 1
    • Kabla ya kumrudishia hali nzuri ya afya, Yehova alimtaka Ayubu asali kwa niaba ya wale waliofanya dhambi dhidi yake. Ni kielelezo kizuri kama nini kwetu! Yehova hutaka kwamba tuwasamehe wale wafanyao dhambi dhidi yetu kabla ya dhambi zetu wenyewe kuweza kusamehewa. (Mathayo 6:12; Waefeso 4:32) Ikiwa hatuko tayari kuwasamehe wengine kunapokuwa na msingi mzuri wa kufanya hivyo, je, twaweza kwa haki kumtarajia Yehova atuonyeshe rehema?—Mathayo 18:21-35.

  • Uaminifu-Maadili wa Ayubu Wathawabishwa
    Mnara wa Mlinzi—1998 | Mei 1
    • Lakini Ayubu hakupaswa kufurahia kutwezwa kwao. Kwa kweli, Yehova alimtaka asali kwa niaba ya washtaki wake. Ayubu alifanya tu vile alivyoagizwa afanye, naye alibarikiwa kwa sababu ya kufanya hivyo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki