-
Kitabu kwa Ajili ya Watu WoteMnara wa Mlinzi—1998 | Aprili 1
-
-
d Kujua kwa Yohana kuhani wa cheo cha juu na watu wa nyumbani mwake kwaonyeshwa zaidi baadaye katika hilo simulizi. Mwingine wa watumwa wa kuhani ashtakipo Petro kuwa mmoja wa wanafunzi wa Yesu, Yohana aeleza kwamba mtumwa huyo alikuwa “jamaa ya mtu ambaye Petro alikatilia mbali sikio lake.”—Yohana 18:26.
-
-
Kitabu kwa Ajili ya Watu WoteMnara wa Mlinzi—1998 | Aprili 1
-
-
Yohana aripoti jambo jingine dogo lionekanalo kuwa lisilo la lazima: “Jina la mtumwa huyo lilikuwa ni Malko.” Kwa nini Yohana peke yake ndiye atoaye jina la huyo mtu? Ufafanuzi umeandaliwa na jambo dogo la hakika ambalo limetajwa mara moja tu katika simulizi la Yohana—Yohana “alijulikana na kuhani wa cheo cha juu.” Alijulikana pia na watu wa nyumbani mwa kuhani wa cheo cha juu; yeye na hao watumishi walifahamiana.d (Yohana 18:10, 15, 16) Basi, ni jambo la asili kwamba Yohana ataja jina la huyo mwanamume aliyejeruhiwa, ilhali waandikaji wengine wa Gospeli, ambao kwao huyo mwanamume alikuwa mtu asiyejulikana, hawamtaji.
-