Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo Makuu Katika Barua za Yohana na ya Yuda
    Mnara wa Mlinzi—2008 | Desemba 15
    • Barua mbili za kwanza zinawatia moyo Wakristo waendelee kutembea katika nuru na kupinga uasi-imani.

  • Mambo Makuu Katika Barua za Yohana na ya Yuda
    Mnara wa Mlinzi—2008 | Desemba 15
    • ENDELEA ‘KUTEMBEA KATIKA KWELI’

      (2 Yohana 1-13)

      Yohana anaanza barua yake ya pili kwa kusema hivi: “Mwanamume mzee, kwa bibi aliyechaguliwa, na kwa watoto wake.” Anashangilia kwa sababu amekuta “baadhi ya watoto [wake] wanatembea katika kweli.”—2 Yoh. 1, 4.

      Baada ya kuwatia moyo wasitawishe upendo, Yohana anaandika hivi: “Upendo unamaanisha hivi, kwamba tuendelee kutembea kulingana na amri zake.” Pia, Yohana anaonya kuhusu “yule mdanganyifu na mpinga-Kristo.”—2 Yoh. 5-7.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki