Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mtumikie Yehova Kulingana na Viwango Vyake vya Juu
    Izingatie Siku ya Yehova Maishani
    • 20. Unaweza kujitayarishaje kama alivyofanya Yona?

      20 Yona aliposali kwa Mungu akiwa “katika tumbo la Kaburi,” alitumia maneno mengi aliyoyajua, maneno ya zaburi. (Yona 2:2) Alikuwa na dhiki nyingi naye alimwomba Yehova amwonyeshe rehema, hata hivyo Yona alikumbuka na kutumia maneno ya Daudi. Kwa mfano, linganisha maneno ya Yona 2:3, 5 na yale yaliyo katika Zaburi 69:1, 2.a Je, huoni kwamba Yona alikuwa amefahamu vizuri maneno ya zaburi za Daudi zilizokuwapo wakati huo? Yona alikumbuka maneno ya zaburi zilizoongozwa kwa roho.

  • Mtumikie Yehova Kulingana na Viwango Vyake vya Juu
    Izingatie Siku ya Yehova Maishani
    • a Pia, linganisha Yona 2:2, 4-9 na Zaburi 18:6; 31:22; 30:3; 142:3; 31:6; na 3:8 kwa mpangilio wa Yona.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki