Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Alijifunza Kutokana na Makosa Yake
    Mnara wa Mlinzi—2009 | Januari 1
    • Katika andiko la 2 Wafalme 14:25, tunajifunza mambo fulani kuhusu malezi ya Yona. Alitoka Gath-heferi, uliokuwa kilomita nne tu kutoka Nazareti, mji ambako Yesu angelelewa miaka 800 hivi baadaye.a

  • Alijifunza Kutokana na Makosa Yake
    Mnara wa Mlinzi—2009 | Januari 1
    • a Ni muhimu kujua kwamba Yona alitoka Galilaya kwa sababu Mafarisayo walisema hivi kwa kiburi kumhusu Yesu: “Chunguza uone kwamba hakuna nabii atakayeinuliwa kutoka Galilaya.” (Yohana 7:52) Watafsiri na wachunguzi wengi wamedokeza kwamba Mafarisayo walikuwa wakizungumza kwa ujumla kwamba hakuna nabii aliyewahi au atakayewahi kutoka mji wa hali ya chini wa Galilaya. Ikiwa ndivyo, walipuuza historia na pia unabii.—Isaya 9:1, 2.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki