-
Kuponda Kichwa cha NyokaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Waaidha, tunasoma baadaye kwamba kifo chenyewe, pamoja na Hadesi, vinatupwa ndani ya ziwa ilo hilo la moto na salfa.
-
-
Kuponda Kichwa cha NyokaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
28. Ziwa la moto na salfa ni nini, na ni jinsi gani si kama kifo, Hadesi, na abiso?
28 Kupatana na hili, Biblia yenyewe hueleza maana ya ziwa la moto na salfa: “Hii humaanisha kifo cha pili, ziwa la moto.” (Ufunuo 20:14, NW) Kwa wazi ni sawa na Gehena ambayo Yesu alisema juu yayo, mahali waovu wanapobaki wameharibiwa, si kuteswa milele. (Mathayo 10:28) Ni uharibifu kabisa, ulio kamili bila tumaini la ufufuo. Hivyo, ingawa kuna funguo za kifo, Hadesi na abiso, hakuna mtajo wa ufunguo wa kufungua ziwa la moto na salfa. (Ufunuo 1:18; 20:1) Halitaachilia kamwe mateka walo.—Linga Marko 9:43-47.
-