Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Afrika Kusini
    2007 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • [Sanduku/Picha katika ukurasa wa 96, 97]

      “Utumishi wa Ufalme Umenisaidia Kumkaribia Yehova”

      THOMAS SKOSANA

      ALIZALIWA 1894

      ALIBATIZWA 1941

      MAELEZO MAFUPI KUMHUSU Alijifunza lugha tano ili awasaidie watu kiroho katika migawo yake akiwa painia.

  • Afrika Kusini
    2007 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Lugha yangu ni Kizulu, lakini muda mfupi baada ya kujifunza kweli, niliamua kwamba ni lazima nijifunze Kiingereza ili niweze kusoma vichapo vyote vya Mashahidi wa Yehova. Kufanya hivyo kulinisaidia kukua kiroho.

      Ili nifanikiwe katika utumishi, nimejifunza Kisesotho, Kihosa, Kitswana, na Kiafrikana kidogo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki