-
Biblia Iko Hai Hata Katika Lugha IliyokufaMnara wa Mlinzi—2009 | Aprili 1
-
-
Biblia ya Kisasa ya Kilatini
Wachunguzi wa maandishi wa miaka ya 1900 walitambua kwamba Vulgate, kama tafsiri nyingine, ilihitaji kusahihishwa. Kwa hiyo, katika mwaka wa 1965 Kanisa Katoliki liliweka Halmashauri ya Vulgate Mpya na likaiagiza isahihishe tafsiri ya Kilatini kupatana na ujuzi mpya. Tafsiri hiyo mpya ingetumiwa katika ibada ya Kilatini ya Kanisa Katoliki.
Sehemu ya kwanza ya tafsiri hiyo mpya inayoitwa Nova Vulgata ilianza kutumiwa mwaka wa 1969, na Papa Yohana Paulo wa Pili aliiidhinisha mwaka wa 1979. Chapa ya kwanza ilikuwa na jina la Mungu, Iahveh, katika mistari kadhaa, kama vile Kutoka 3:15 na 6:3.
-
-
Biblia Iko Hai Hata Katika Lugha IliyokufaMnara wa Mlinzi—2009 | Aprili 1
-
-
[Picha katika ukurasa wa 23]
Kutoka 3:15, Nova Vulgata, 1979
[Hisani]
© 2008 Libreria Editrice Vaticana
-