Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Sheria ya Kabla ya Kristo
    Mnara wa Mlinzi—1996 | Septemba 1
    • 6. (a) Sheria ya Kimusa ina sheria ngapi hivi, na kwa nini hizo hazipasi kuonwa kuwa nyingi kupita kiasi? (Ona kielezi-chini.) (b) Ni ufahamu gani wenye kina tuwezao kuupata kupitia funzo la Sheria ya Kimusa?

      6 Basi, haishangazi kwamba, Sheria ya Kimusa ina sheria nyingi—zaidi ya 600.a

  • Sheria ya Kabla ya Kristo
    Mnara wa Mlinzi—1996 | Septemba 1
    • a Bila shaka, bado hiyo ni idadi ndogo sana kwa kulinganishwa na mifumo ya kisheria ya mataifa ya kisasa. Kwa kielelezo, kufikia mapema miaka ya 1990, sheria za serikali za Marekani zilijaza kurasa zaidi ya 125,000, maelfu ya sheria mpya yakiendelea kuongezwa kila mwaka.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki