Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Nilitawalwa na Imani Katika Mungu Nchini Ukomunisti
    Amkeni!—1996 | Aprili 22
    • Rafiki yangu akaanzisha funzo la Biblia pamoja nami. Kwa kila funzo, aliniazima kurasa kadhaa kutoka kwa ule msaada wa kujifunza Biblia “Let God Be True,” nasi tulizungumza kurasa hizo pamoja.

  • Nilitawalwa na Imani Katika Mungu Nchini Ukomunisti
    Amkeni!—1996 | Aprili 22
    • Fikiria hali yangu: Nilikuwa mwanafunzi wa Biblia mpya ambaye mfunzi wake, Shahidi mmoja tu niliyepata kukutana naye, hakuwepo wakati wa kiangazi. Naye alikuwa ameacha sura chache tu za kile kitabu “Let God Be True” kwa ajili ya funzo langu la kibinafsi. Hizo na Biblia yangu tu ndizo zilikuwa miongozo yangu ya kiroho.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki