-
Kutoka kwa Wasomaji WetuAmkeni!—1998 | Machi 22
-
-
“Katika Masikio ya Kitoto” Makala hii (Juni 8, 1997) iliniathiri sana. Katika huduma ya shambani, mara nyingi mimi hukutana na wachanga. Bila kuwapuuza au kuwashusha, kila wakati mimi huzungumza nao kuhusu Paradiso. Shukrani nyingi sana kwa kuchapisha jambo hili lililoonwa, kwani lilinitia moyo niendelee katika njia hii. Nani ajuaye ni masikio ya nani yatakayokuwa “masikio ya kitoto” yafuatayo?
M. O. U., Nigeria
-
-
Kutoka kwa Wasomaji WetuAmkeni!—1998 | Machi 22
-
-
Makala hii iliniathiri! Nilipoifikia sehemu “Kujifunza Kweli ya Biblia” na kusoma kuhusu mshtuko ambao Louise alihisi alipoona Zaburi 37:9 kuhusu kuirithi dunia—na isitoshe katika Biblia yake ya King James Version!—nililia sana. Asanteni kwa masimulizi haya ya maisha na tafadhalini endeleeni kuyachapisha kwa ukawaida katika Amkeni!
P. C., Uingereza
-