Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Njia ya Upendo Haishindwi Kamwe
    Mnara wa Mlinzi—1999 | Februari 15
    • Kwa vyovyote, kuishi tu katika nchi ya kigeni hakungetufanya tujifunze kuzungumza lugha yake. Wala kuhudhuria mikutano tu kwenye Jumba la Ufalme wala kushirikiana na Wakristo wenzetu hakutufunzi kuonyesha upendo bila sisi kujitahidi. Kujifunza “lugha” hii kwahitaji jitihada yenye kuendelea.

  • Njia ya Upendo Haishindwi Kamwe
    Mnara wa Mlinzi—1999 | Februari 15
    • 22 Kama vile ambavyo kujifunza kuzungumza lugha mpya hatimaye huwa jambo rahisi, baada ya muda yaelekea utaona kwamba kuonyesha upendo kutakuwa jambo rahisi zaidi. Paulo atuhakikishia kwamba “upendo haushindwi kamwe.” (1 Wakorintho 13:8) Tofauti na zawadi za kimuujiza za roho, upendo hautakoma kamwe kuweko. Kwa hiyo endelea kujifunza kuonyesha sifa hii ya kimungu. Hiyo ni “njia izidiyo,” kama vile Paulo aiitavyo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki