Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Neno la Mungu Hudumu Milele
    Mnara wa Mlinzi—1997 | Oktoba 1
    • (4) Louis wa 13 (1610-1643), Ufaransa, alimwidhinisha Jacques Corbin atafsiri Biblia katika Kifaransa ili kusawazisha jitihada za Waprotestanti. Kwa kuzingatia lengo hilo, Corbin alitia ndani maandishi ya ziada, kutia na rejezo kwenye “dhabihu takatifu ya Misa” kwenye Matendo 13:2.

  • Neno la Mungu Hudumu Milele
    Mnara wa Mlinzi—1997 | Oktoba 1
    • Kwa habari ya maandishi ya ziada kwenye 1 Yohana 5:7 ili kutegemeza Utatu na kwenye Matendo 13:2 ili kuthibitisha uhalali wa Misa, hayo hayakubadili lililo kweli. Na punde si punde udanganyifu huo mbalimbali ulifichuliwa kabisa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki