-
‘Weka Moyoni Mwako’ Hekalu la Mungu!Mnara wa Mlinzi—1999 | Machi 1
-
-
Ono hilo linapoendelea, Ezekieli amwona malaika huyo akipima kwa makini jozi tatu za malango yenye kulingana pamoja na vyumba vya walinzi wa malango hayo ya hekalu, ua wa nje, ua wa ndani, vyumba vya kulia, madhabahu, na patakatifu pa hekalu hilo pamoja na vyumba vyake vya Patakatifu na Patakatifu Zaidi Sana.
-
-
‘Weka Moyoni Mwako’ Hekalu la Mungu!Mnara wa Mlinzi—1999 | Machi 1
-
-
Na zaidi, kupimwa kwa hekalu kuliwapa uhakikisho kamili wa kimungu kwamba ono hilo lazima lingetimizwa. (Linganisha Yeremia 31:39, 40; Zekaria 2:2-8.)
-