Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Je, Unazungumza Ile “Lugha Safi” kwa Ufasaha?
    Mnara wa Mlinzi—2008 | Agosti 15
    • 12. Kukumbuka mambo kunahusika jinsi gani katika kujifunza lugha mpya?

      12 Jitahidi kukumbuka mambo. Watu wanaojifunza lugha nyingine wanahitaji kukumbuka mambo mengi mapya. Hiyo inatia ndani kukumbuka maneno na misemo mipya. Kwa Wakristo, kujitahidi kukumbuka mambo kunaweza kuwa msaada mkubwa katika kuijua vizuri ile lugha safi. Bila shaka, tunapaswa kujitahidi kukumbuka majina ya vitabu vya Biblia kama vinavyofuatana. Wengine wamejiwekea mradi wa kukumbuka maneno ya maandiko fulani ya Biblia au mahali ambapo maandiko fulani yanapatikana.

  • Je, Unazungumza Ile “Lugha Safi” kwa Ufasaha?
    Mnara wa Mlinzi—2008 | Agosti 15
    • Katika nyakati za zamani, Waisraeli wengi walizijua zaburi neno kwa neno. Katika nyakati za sasa, mvulana mmoja alijifunza mistari zaidi ya 80 ya Biblia neno kwa neno kufikia wakati ambapo alikuwa na umri wa miaka sita tu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki