-
Visivyoweza Kuonwa kwa Macho MatupuAmkeni!—2000 | Agosti 22
-
-
Twaweza kutazama kwa hadubini tone la maji lionekanalo kuwa bila uhai na kugundua kwamba limejaa viumbe mbalimbali wanaosonga. Na unywele uonekanao kuwa laini kwa macho matupu, huonekana ukiwa umechanika-chanika na wenye kukwaruza. Hadubini zenye nguvu zaidi zaweza kukuza vitu zaidi ya mara milioni moja, ni sawa na kukuza stempu ya posta iwe na ukubwa wa nchi ndogo!
Siku hizi, watafiti waweza kuona picha ndogo za visehemu vinavyotoshana na atomu kwa kutumia hadubini zenye uwezo mkubwa zaidi. Uvumbuzi huo umewawezesha kuona vitu ambavyo havikuwa vikionwa na mwanadamu kwa macho matupu hadi majuzi.
-
-
Visivyoweza Kuonwa kwa Macho MatupuAmkeni!—2000 | Agosti 22
-
-
Vitu Vidogo Isivyowazika
Kitu kidogo sana kiwezacho kuonwa kwa hadubini ya kawaida kina zaidi ya atomu bilioni kumi!
-