-
Dhahabu Ingali InavutiaAmkeni!—2005 | Septemba 22
-
-
[Picha katika ukurasa wa 26]
Mgodi wa dhahabu wenye kina kirefu zaidi ulimwenguni, huko Kalgoorlie—Boulder, Australia Magharibi
[Hisani]
Courtesy Newmont Mining Corporation
-
-
Dhahabu Ingali InavutiaAmkeni!—2005 | Septemba 22
-
-
Kisha, mnamo 1893, wachimbaji walianza kuchimba dhahabu karibu na Kalgoorlie-Boulder, Australia Magharibi. Tangu wakati huo, zaidi ya tani 1,300 zimechimbwa katika eneo ambalo limetajwa kuwa “sehemu yenye ukubwa wa kilometa 2.5 za mraba yenye dhahabu nyingi zaidi ulimwenguni.” Bado eneo hilo hutokeza dhahabu na sasa mgodi huo ni mojawapo ya migodi ya dhahabu yenye kina kirefu zaidi ulimwenguni, kwani umekuwa bonde lenye upana wa kilometa mbili hivi, urefu wa kilometa tatu hivi, na kina kinachofikia meta 400!
-