-
Je, Kweli Miujiza Hutukia?Mnara wa Mlinzi—2005 | Februari 15
-
-
Kichapo The Encyclopedia of Religion kinaeleza kwamba waanzilishi wa Ubudha, Ukristo, na Uislamu walikuwa na maoni mbalimbali kuhusu miujiza, lakini kinasema: “Historia ya baadaye ya dini hizo huonyesha wazi kwamba miujiza na masimulizi kuhusu miujiza yamekuwa sehemu muhimu ya imani ya kidini ya wanadamu.”
-
-
Je, Kweli Miujiza Hutukia?Mnara wa Mlinzi—2005 | Februari 15
-
-
Kichapo hichohicho kinasema hivi kuhusu Uislamu: “Waislamu wengi bado hutarajia miujiza itukie. Mapokeo (hadīths) yanasema kwamba Muhammad alifanya miujiza pindi nyingi hadharani. . . . Hata baada ya watakatifu kufa, inaaminika kwamba wao hufanya miujiza wakiwa makaburini ili kuwafaidi waumini, nao watu hutafuta msaada wao kwa bidii.”
-