-
Msamaria Athibitika Kuwa Jirani MwemaMnara wa Mlinzi—1998 | Julai 1
-
-
Msamaria alipomwona msafiri aliyepatwa na msiba “akasukumwa na sikitiko.” Yesu akasema hivi: “Kwa hiyo akamkaribia akafunga majeraha yake, akimwaga mafuta na divai juu yayo. Kisha akampandisha juu ya hayawani wake mwenyewe akamleta kwenye hoteli ndogo na kumtunza.b
-
-
Msamaria Athibitika Kuwa Jirani MwemaMnara wa Mlinzi—1998 | Julai 1
-
-
b Ni wazi kwamba hoteli fulani katika siku ya Yesu ziliandaa si mahali pa kujisetiri tu, bali pia chakula na huduma nyingine. Hiyo yaweza kuwa aina ya makao ambayo Yesu alikuwa akifikiria, kwa maana neno la Kigiriki lililotumiwa hapa ni tofauti na lile litafsiriwalo “chumba cha makao” kwenye Luka 2:7.
-