-
“Mvua Hainyeshi Kamwe Huku Lima”Amkeni!—2003 | Mei 22
-
-
Isitoshe, tangu mwanzoni mwa miaka ya 1990, wakaaji wa miji fulani katika jangwa hilo wamekuwa wakitumia nyavu kubwa za plastiki ili kukusanya maji ya ukungu kutoka kwenye mawingu yaliyojaa ukungu. Wao hutumia maji hayo kwa ajili ya kunywa na kunyunyizia mashamba.
-
-
“Mvua Hainyeshi Kamwe Huku Lima”Amkeni!—2003 | Mei 22
-
-
[Picha katika ukurasa wa 26]
Nyavu za kukusanya ukungu huko Mejía, Peru
Mitaro ya maji iliyochimbwa na Wainka bado inatumiwa huko Ollantaytambo, Peru
[Hisani]
▲ © Jeremy Horner/CORBIS; inset: Courtesy of the charity FogQuest; www.fogquest.org
-