-
Sehemu ya 1—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya DuniaMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
Miongoni mwa wafanyakazi wenye bidii katika siku hizo za mapema alikuwa Ed Nelson, ambaye, ijapokuwa hakuwa mwenye busara sana, alitumia wakati wake wote kwa miaka 50 akieneza ujumbe wa Ufalme toka ncha ya kaskazini ya New Zealand hadi kusini.
-
-
Sehemu ya 1—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya DuniaMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
[Picha katika ukurasa wa 418]
Frank Grove (kushoto) na Ed Nelson (waonekanao hapa wakiwa na wake zao) kila mmoja alitumia zaidi ya miaka 50 kueneza ujumbe wa Ufalme wakati wote kotekote katika New Zealand
-