-
Jiji Lenye Uzuri wa Kung’aaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
“Pia, usiku utakuwa hauko tena, na wao hawana uhitaji wa nuru ya taa wala wao hawana nuru ya jua, kwa sababu Yehova Mungu atatoa nuru juu yao.” (Ufunuo 22:5a, NW)
-
-
Jiji Lenye Uzuri wa Kung’aaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
“Usiku” huenda ukatumiwa pia katika maana ya kitamathali, kurejezea janga au mtenganisho na Yehova. (Mika 3:6; Yohana 9:4; Warumi 13:11, 12) Hakungeweza kuwa na usiku wa aina hiyo katika kuwapo kwenye utukufu na kwenye kung’aa kwa Mungu mweza yote.
-