-
Norway2012 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Hans Peter Hemstad na Gunnar Marcussen, waliohitimu kutoka Gileadi mwaka wa 1948, walikuwa wanafunzi wa kwanza kutoka Norway. Walitumwa Norway na kutumika katika kazi ya kuzungukia makutaniko na pia Betheli, mwanzoni wakiwa waseja na baadaye wakiwa pamoja na wake zao.
-
-
Norway2012 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
[Picha katika ukurasa wa 135]
Gunnar Marcussen (1) na Hans Peter Hemstad (2) walikuwa wanafunzi wa kwanza kutoka Norway kuhitimu Shule ya Gileadi
-