-
Norway2012 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Dada painia wa kwanza alikuwa Helga Hess. Alikuwa yatima aliyeishi jijini Bergen, ambapo alianza kufundisha watoto mambo ya dini katika shule ya Jumapili akiwa na umri wa miaka 17. Alipomsikia Theodor Simonsen katika kanisa la Free Mission akisema mambo aliyokuwa amesoma katika mojawapo ya vitabu vya Wanafunzi wa Biblia, alivutiwa sana na akaanza kusoma vitabu hivyo. Akaacha kazi, na mwaka wa 1905, akiwa na umri wa miaka 19, akaenda kuhubiri habari njema jijini Hamar na Gjøvik.
-
-
Norway2012 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
[Picha katika ukurasa wa 98]
Mapainia wa kwanzakwanza: (1) Helga Hess, (2) Andreas Øiseth, (3) Karl Gunberg, (4) Hulda Andersen, na (5) Anna Andersen
-