Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Norway
    2012 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Mjini Arendal, kulikuwa na Mwanafunzi wa Biblia mmoja tu katika mwaka wa 1914. Siku moja, dada huyo alikutana na Mia Apesland barabarani na kumwambia kwamba kulingana na Biblia, kungekuwa na vita katika majira ya kupukutika kwa majani mwaka wa 1914. “Hilo likitukia, nitakuwa mwamini,” Mia akajibu. Muda mfupi baadaye, Mia alipoona mambo ambayo dada huyo alisema yakitukia, akawa mwamini kama alivyoahidi. Mia, dada aliyemhubiria, na wengine wachache wakaanzisha Kutaniko la Arendal.

  • Norway
    2012 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Kuanzia Desemba 1914 mpaka 1915 sinema yenye kuvutia iliyoitwa “Photo-Drama of Creation,” ilitumiwa kutoa ushahidi mzuri kwa watu wengi huko Kristiania, Bergen, Trondheim, Skien, Arendal, na Kristiansand.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki