-
Norway2012 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Mnamo 1921, Enok Öman alipewa jukumu la kusimamia kazi nchini Norway, na alifanya hivyo mpaka 1945.
-
-
Norway2012 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
[Sanduku/Picha katika ukurasa wa 102]
‘Alitembea Pamoja na Mungu’
ENOK ÖMAN
ALIZALIWA 1880
ALIBATIZWA 1911
MAELEZO MAFUPI KUMHUSU Alitumika akiwa mwangalizi wa tawi tangu 1921 hadi 1945.
-
-
Norway2012 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Mwaka wa 1917, Enok alitumwa Norway ili atumike katika ofisi ya tawi, na katika mwaka wa 1921, akapata mgawo wa kusimamia kazi nchini Norway. Wakati huo ofisi ya Watch Tower Society ilikuwa katika chumba kimoja cha jengo fulani ambapo Dada Maria Dreyer alikuwa na nyumba na duka la kurembesha miguu. Enok alipomwoa Maria mwaka wa 1922, nyumba ya Maria ikatumiwa kama ofisi ya tawi. Walifanya kazi pamoja Betheli hadi Maria alipokufa mwaka wa 1944.
-