-
“Babuloni Mkubwa Ameanguka!”Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Ule mto wa damu kutoka shinikizo la divai ni wenye kina sana, mpaka kwenye hatamu za wale farasi, na hufikia kitalifa cha farlong’i 1,600.a Tarakimu hii kubwa, inayotokezwa kwa kuzidisha mraba wa nne kwa mraba wa kumi (4 x 4 x 10 x 10), kwa mkazo huwasilisha ujumbe wa kwamba ithibati ya uharibifu itahusisha ndani dunia yote. (Isaya 66:15, 16) Uharibifu utakuwa kamili na usiogeuzika. Hasha, la hasha, mzabibu wa dunia wa Shetani hautatia mzizi tena!—Zaburi 83:17, 18.
-
-
“Babuloni Mkubwa Ameanguka!”Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
a Farlong’i 1,600 ni kama kilometa 300, au maili za Kiingereza 180.—Ufunuo 14:20, New World Translation Reference Bible, kielezi cha chini.
-