-
Papua New Guinea2011 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Baadaye, Jim Wright, mwana wa Dorothy, pamoja na painia mwenzake, Kerry Kay-Smith walipewa mgawo wa kwenda Banz, wilaya ya kukuza chai na kahawa katika bonde maridadi la Wahgi mashariki ya Mlima Hagen. Huko walikabili upinzani mkali kutoka kwa makanisa, ambayo yaliwachochea watoto wawatupie mawe na kuwafukuza kutoka vijijini mwao. Kerry alipohamia kwenye mgawo mwingine, Jim alibaki Banz, akifanya upainia akiwa peke yake.
-
-
Papua New Guinea2011 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
[Picha katika ukurasa wa 114]
Kerry Kay-Smith na Jim Wright
-