Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Tunaazimia Kutimiza Huduma Yetu
    Mnara wa Mlinzi—2007 | Juni 1
    • Kisha mwaka wa 1970, tulialikwa katika ofisi ya tawi ya Port Moresby, mji mkuu wa Papua New Guinea, ili tufanye kazi ya wakati wote ya kutafsiri. Pia tuliwafundisha wengine lugha.

  • Tunaazimia Kutimiza Huduma Yetu
    Mnara wa Mlinzi—2007 | Juni 1
    • Mlango Mwingine wa Utendaji Unafunguka

      Mwaka wa 1988, tulipewa mgawo wa kurudi tena Port Moresby ili kusaidia katika kazi ya kutafsiri iliyokuwa ikiongezeka kwenye ofisi ya tawi. Tukiwa watu 50 hivi tuliishi na kufanya kazi kama familia katika ofisi ya tawi, na pia tuliwazoeza watafsiri wapya. Sote tuliishi katika nyumba yenye vyumba vingi vidogo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki