Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Papua New Guinea
    2011 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Mnamo 1957, David Walker, ndugu Mwaustralia mwenye umri wa miaka 26 aliyekuwa akiishi huko Port Moresby, alisikia kwamba watu katika kijiji jirani cha Manu Manu na katika eneo la Gabadi walikuwa wanapendezwa na kweli. David aliacha kazi yake, akaanza kufanya upainia wa pekee, na akahubiri katika eneo hilo kwa mwaka mzima akiwa peke yake. Wengine waliendeleza alipoachia, na sasa kuna kutaniko na Jumba la Ufalme huko Manu Manu.

  • Papua New Guinea
    2011 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • [Picha katika ukurasa wa 92]

      Alf Green, David Walker, na Jim Smith

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki