-
Papua New Guinea2011 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
“Katika nchi iliyo na zaidi ya lugha 800, ni muhimu kuwa na lugha moja au zaidi ambazo watu wanaweza kutumia kuwasiliana,” anasema Timo Rajalehto, ambaye ni mshiriki wa Halmashauri ya Tawi na msimamizi wa Idara ya Tafsiri. “Lugha rahisi zinazotumiwa katika biashara, kama vile Kitok Pisin na Kihiri Motu zinafaa kwa kusudi hilo. Ni rahisi kujifunza lugha hizo, na pia zinatumiwa katika shughuli za kila siku. Lakini haziwasilishi kwa njia inayofaa hoja ngumu. Kwa hiyo, mara nyingi watafsiri wetu hushindwa kueleza maneno mengine magumu.
-
-
Papua New Guinea2011 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
“Hivi majuzi, tulitafsiri baadhi ya trakti katika lugha mpya, kutia ndani lugha ya Enga, Jiwaka, Kuanua, Melpa, na Orokaiva,” anasema Timo Rajalehto.
-