-
Papua New Guinea2011 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Kwa kuwa ilikuwa vigumu sana kuchapisha vichapo katika kila lugha, akina ndugu walikazia fikira zao kwenye lugha mbili zilizotumiwa katika biashara—Hiri Motu na Tok Pisin.
-
-
Papua New Guinea2011 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Kitok Pisin—mchanganyiko wa Kiingereza, Kijerumani, Kikuanua, na lugha nyingine—kinazungumzwa na watu wengi katika nyanda za juu, maeneo ya pwani, na visiwani upande wa kaskazini mwa Papua New Guinea.
-