Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Papua New Guinea
    2011 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Huku maendeleo yakitukia huko Madang, Jim Baird pamoja na John na Magdalen Endor walikuwa wakipata matokeo mazuri huko Lae, mji mkubwa wa pwani ulioko kilomita 210 hivi upande wa kusini-mashariki. “Tulijifunza na watu wengi nyumbani kwetu kila usiku. Baada ya miezi sita wanafunzi kumi wa Biblia waliandamana nasi katika utumishi,” anakumbuka John. Baadaye katika mwaka huo zaidi ya watu 1,200 walihudhuria maonyesho ya sinema yenye kichwa The New World Society in Action iliyoonyeshwa katika jumba la sinema la Lae. Wengi waliohudhuria walikuwa vibarua ambao walipeleka habari njema waliporudi kwenye vijiji vyao vya mbali vya milimani.

  • Papua New Guinea
    2011 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • [Picha katika ukurasa wa 103]

      Nyumba ya Magdalen na John Endor ndipo mahali pa kwanza ambapo mikutano ilifanyiwa huko Lae

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki