-
Papua New Guinea2011 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Kujifunza lugha mpya kuliwasaidia pia kuwa na subira na hisia-mwenzi walipowafundisha watu ambao hawakujua kusoma au kuandika. Kwa sababu hiyo, waliwasaidia watu wengi wanaopendezwa wajifunze mambo ya msingi yanayohitajika ili kusoma Neno la Mungu. (Isa. 50:4) Matokeo ni kwamba idadi ya wahubiri iliongezeka kutoka 2,000 katika mwaka wa 1989 kufikia 3,000 hivi katika mwaka wa 1998, ongezeko la asilimia 50 katika muda wa miaka tisa tu!
-
-
Papua New Guinea2011 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
[Grafu/Picha katika ukurasa wa 118]
(Ona mpangilio kamili katika nakala iliyochapishwa)
Jumla ya Wahubiri
Jumla ya Mapainia
3,500
2,500
1,500
500
1955 1965 1975 1985 1995 2005
-