Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Wamishonari Wasukuma Mpanuko wa Ulimwenguni Pote
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Wamishonari hao hawakujifikiria kuwa wakuu kuliko wenyeji. Akiwa mwangalizi asafiriye, John Cutforth, aliyekuwa mwalimu wa shule katika Kanada hapo awali, alizuru makutaniko pamoja na Mashahidi walio mbali katika Papua New Guinea. Aliketi sakafuni nao, akala nao, na akakubali mialiko ya kulala kwenye mkeka sakafuni katika nyumba zao. Alifurahia ushirika pamoja nao walipotembea pamoja katika huduma ya shambani. Lakini hilo liliwashangaza wasio-Mashahidi walioona jambo hilo, kwa kuwa mapasta wa Ulaya wa misheni za Jumuiya ya Wakristo walijulikana kuwa walijitenga na watu wenyeji, wakishiriki na wanaparishi wao kwa muda mfupi tu kwenye baadhi ya mikutano yao, lakini hawakula nao kamwe.

  • Wamishonari Wasukuma Mpanuko wa Ulimwenguni Pote
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • [Picha katika ukurasa wa 529]

      John Cutforth akitumia michoro ili kufundisha katika Papua New Guinea

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki