-
Delta ya Ulaya Yenye Mandhari MbalimbaliAmkeni!—2005 | Oktoba 22
-
-
Karibu nusu ya waari weupe walio duniani na zaidi ya asilimia 60 ya aina fulani ya mnandi ulimwenguni hutaga mayai katika Delta ya Danube.
-
-
Delta ya Ulaya Yenye Mandhari MbalimbaliAmkeni!—2005 | Oktoba 22
-
-
[Picha katika ukurasa wa 25]
Karibu nusu ya waari weupe ulimwenguni hutaga mayai hapa
-
-
Delta ya Ulaya Yenye Mandhari MbalimbaliAmkeni!—2005 | Oktoba 22
-
-
Katika mwezi wa Machi, waari hujenga viota vyao na kutaga mayai kwenye visiwa vya matete vinavyoelea vilivyo mbali. Majira ya kupukutika kwa majani yanapoanza, waari huhamia Delta ya Nile, Ugiriki, na pwani za Asia zilizo mbali kama vile India.
-