Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ufalme wa Mungu Wazaliwa!
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • “Lakini dunia ikaja kusaidia mwanamke, na dunia ikafungua kinywa chayo na ikameza kabisa mto ambao yule drakoni alitapika kutoka kinywa chake.

  • Ufalme wa Mungu Wazaliwa!
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Ufunuo 12:16,

  • Ufalme wa Mungu Wazaliwa!
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • “Dunia”—elementi zilizo ndani ya mfumo wa mambo wa Shetani mwenyewe—ikaanza kumeza ule “mto,” au “furiko.” Wakati wa miaka ya 1940 Mashahidi walianza kupata mfululizo wa maamuzi yenye kupendeleka katika Mahakama Kuu Zaidi Sana ya United States, na kutoka mamlaka zenye kutawala katika mabara fulani, ambayo yalitetea uhuru wa ibada. Mwishowe, Mataifa-Mafungamani yakameza kabisa hiyo kani kubwa gandamizi ya Kinazi-Fashisti, kwa kuauni Mashahidi ambao walikuwa wameteseka chini ya tawala katili za kidikteta. Minyanyaso haikukoma kabisa, kwa kuwa yule drakoni ameendelea mpaka leo hii, naye huendeleza vita dhidi ya wale ambao “wana kazi ya kutoa ushahidi kwa Yesu.” Katika mabara mengi, Mashahidi washikamanifu wangali wamo gerezani, na baadhi yao wangali wanakufa kwa sababu ya ukamilifu wao. Lakini katika mengine ya mabara haya, wakati kwa wakati wenye mamlaka hulegeza mbano wao, na Mashahidi hufurahia kipimo kikubwa zaidi cha uhuru.c Hivyo, katika utimizo wa unabii, dunia huendelea kumeza mto wa mnyanyaso.

      30. (a) Dunia imeandaa muawana wa kutosha kwa ajili ya kitu gani kitukie? (b) Ukamilifu wa watu wa Mungu hutokeza nini?

      30 Katika njia hii, dunia imeandaa muawana wa kutosha kuruhusu kazi ya Mungu iendelee kwenye mabara 235 hivi na kuzaa wahubiri wa habari njema waaminifu zaidi ya milioni sita.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki