Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Sehemu ya 4—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya Dunia
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Idadi kubwa ya wakazi wa Peru huishi katika vijiji vidogo vilivyotawanyika juu ya milima ya Andes na katika misitu izungukayo vyanzo vya mto Amazon. Wangeweza kufikiwaje? Katika 1971 familia moja ya Mashahidi kutoka Marekani ilisafiri kwenda Peru ili kutembelea mwana wao mishonari, Joe Leydig. Walipopata kujua juu ya ile hesabu kubwa ya vijiji vinavyojificha hapa na pale katika mabonde ya milimani, kuhangaikia watu hao kuliwasukuma watake kufanya jambo fulani ili kusaidia. Walisaidia kuandaa gari moja kwanza ambalo lingetumika kama nyumba, kisha mengine mawili, pamoja na pikipiki ziwezazo kupitia vijia vyembamba ili zitumiwe kufunga safari ndefu za kuhubiri katika maeneo hayo ya mbali.

  • Sehemu ya 4—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya Dunia
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • [Picha katika ukurasa wa 465]

      Ile mashua “El Refugio,” iliyojengwa na Mashahidi katika Peru, ilitumiwa kupeleka ujumbe wa Ufalme kwa watu waishio kandokando ya mito katika mkoa wa Amazon ya juu

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki