Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Tangazeni Mfalme na Ufalme! (1919-1941)
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Matumizi yenye mafanikio ya mashine za kupigia sahani za santuri yaliongoza kwenye njia nyingine mpya—kuhubiri nyumba hadi nyumba kwa gramafoni nyepesi. Katika 1934 Sosaiti ilianza kuunda gramafoni zenye kuchukulika na mfululizo wa sahani za santuri za mwendo wa mizunguko 78 kwa dakika moja zenye mihadhara ya Biblia yenye dakika 4 1/2. Hatimaye, mirekodi yenye kuzungumzia habari mbalimbali 92 ilikuwa ikitumiwa. Kwa jumla, Sosaiti ilitengeneza gramafoni zaidi ya 47,000 ili kupiga mbiu ya ujumbe wa Ufalme. Walakini, baada ya wakati kupita, mkazo zaidi uliwekwa juu ya utoaji wa ujumbe wa Ufalme kwa mdomo, hivyo polepole kazi ya kutumia gramafoni ikakomeshwa.

  • Tangazeni Mfalme na Ufalme! (1919-1941)
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Kutumia gramafoni katika utumishi wa shambani (kushoto)

      Kuonyesha jinsi ya kutumia gramafoni ya mtindo wa kusimama wima, katika 1940 (kulia)

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki