Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Jihadhari Na Mitego Ya Ibilisi!
    Mnara wa Mlinzi—2012 | Agosti 15
    • 9 Gavana Mroma Pontio Pilato alijua kwamba Yesu hakuwa na hatia na inaonekana kwamba hakutaka kumdhuru. Kwa kweli, Pilato alisema kwamba Yesu hakufanya “jambo lolote linalostahili kifo.” Hata hivyo, Pilato aliamua Yesu auawe. Kwa nini? Kwa sababu Pilato alishindwa na msongo wa umati. (Luka 23:15, 21-25) Wapinzani hao walipiga kelele hivi wakimsonga Pilato afanye walichotaka: “Ukimfungua mtu huyu, wewe si rafiki ya Kaisari.” (Yoh. 19:12) Huenda Pilato aliogopa kwamba angepoteza cheo chake au labda uhai wake ikiwa angemtetea Kristo. Kwa hiyo, alijiruhusu kushawishiwa kutenda mapenzi ya Ibilisi.

  • Jihadhari Na Mitego Ya Ibilisi!
    Mnara wa Mlinzi—2012 | Agosti 15
    • Pilato alijua mambo machache kumhusu Kristo. Hata hivyo, alijua kwamba Yesu hakuwa na hatia na kwamba hakuwa mtu wa kawaida. Lakini Pilato alikosa unyenyekevu na upendo kumwelekea Mungu wa kweli. Ibilisi alimnasa kwa urahisi akiwa hai.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki