-
Ujumbe Mtamu na MchunguUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
2 “Na mimi nikaona malaika mwingine kabambe akishuka kutoka katika mbingu, akiwa amepambwa wingu, na upinde-mvua ulikuwa juu ya kichwa chake, na uso wake ulikuwa kama jua, na nyayo zake zilikuwa kama nguzo zenye moto.”—Ufunuo 10:1, NW.
-
-
Ujumbe Mtamu na MchunguUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Si uso pekee bali pia nyayo za malaika huyu ni zenye utukufu, “kama nguzo zenye moto.” Msimamo wake imara ni ule wa Mmoja ambaye Yehova amempa “mamlaka yote . . . katika mbingu na juu ya dunia.”—Mathayo 28:18; Ufunuo 1:14, 15, NW.
-