-
Kutumikia Pamoja na MlinziMnara wa Mlinzi—2000 | Januari 1
-
-
Ilidhaniwa kwamba piramidi hiyo ya kumkumbuka Farao Khufu ndiyo nguzo inayotajwa kwenye Isaya 19:19, 20: “Katika siku hiyo itakuwako madhabahu katika nchi ya Misri kwa BWANA, na nguzo mpakani mwake kwa BWANA. Nayo itakuwa ishara na ushuhuda kwa BWANA wa majeshi katika nchi ya Misri.”
-
-
Kutumikia Pamoja na MlinziMnara wa Mlinzi—2000 | Januari 1
-
-
Nguzo iliyo ‘mpakani mwa Misri’ hurejezea kutaniko la Wakristo watiwa-mafuta, ambalo ni “nguzo na tegemezo la ile kweli” nalo ni ushahidi katika “Misri,” ulimwengu ambao watauacha hivi karibuni.—1 Timotheo 3:15.
-