-
Toka Ufukara Hadi Utajiri Mkubwa ZaidiMnara wa Mlinzi—1999 | Julai 1
-
-
Mnyanyaso ulipozidi kuongezeka, idadi ya wale walioukubali ujumbe wa Ufalme iliongezeka pia. Kwa hiyo, wale Mashahidi waliopungua 1,300 nchini Ureno mwaka wa 1962 waliongezeka na kupita 13,000 kufikia mwaka wa 1974!
-
-
Toka Ufukara Hadi Utajiri Mkubwa ZaidiMnara wa Mlinzi—1999 | Julai 1
-
-
Imekuwa shangwe kama nini kuona kazi ya kuhubiri ikisitawi nchini Ureno na katika maeneo yaliyo chini ya uangalizi wa ofisi yetu ya tawi! Nchi hizo zatia ndani Angola, Azores, Cape Verde, Madeira, na São Tomé na Príncipe. Kwa miaka kadhaa limekuwa jambo lenye kusisimua kuona wamishonari kutoka Ureno wakitumwa kutumikia katika nchi hizo, ambamo upendezi mkubwa sana katika ujumbe wa Ufalme umeonyeshwa. Wazia shangwe yetu sasa kuwa na watangazaji wa Ufalme zaidi ya 88,000 katika sehemu hizo, kutia ndani zaidi ya 47,000 nchini Ureno! Hudhurio la ukumbusho katika nchi hizo mwaka wa 1998 lilipita 245,000, likilinganishwa na linalopungua 200 nilipopata kuwa Shahidi mwaka wa 1954.
-