-
Kutembelea Kisiwa cha ManAmkeni!—2005 | Julai 8
-
-
Mashindano ya pikipiki yanayoitwa Isle of Man Tourist Trophy, ambayo hufanywa kila mwaka, pia huwavutia watu wengi. Barabara kuu ambazo hutumiwa zina urefu wa zaidi ya kilometa 60. Katika mashindano ya kwanza yaliyofanywa mwaka wa 1907, mwendo wa kasi zaidi ulikuwa kilometa 65 hivi kwa saa. Siku hizi mwendo ambao mshindi husafiri huwa angalau kilometa 190 kwa saa. Bila shaka, mchezo huo ni hatari, na kwa miaka mingi waendeshaji kadhaa wameuawa.a
-
-
Kutembelea Kisiwa cha ManAmkeni!—2005 | Julai 8
-
-
a Ona simulizi la Fred Stevens aliyekuwa mwendeshaji wa pikipiki katika mashindano ya Tourist Trophy, lililochapishwa katika makala “The Greater Challenge, the Greater Thrill!” katika gazeti la Amkeni!, Septemba 22, 1988 la Kiingereza.
-