-
“Babuloni Mkubwa Ameanguka!”Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Na bado malaika mwingine [wa sita] akaibuka kutoka katika madhabahu na yeye alikuwa na mamlaka juu ya moto. Na yeye akaita kwa sauti kubwa kwa mmoja ambaye alikuwa na mundu mkali, akisema: ‘Tia ndani mundu wako mkali na kukusanya vichala vya mzabibu wa dunia, kwa sababu zabibu zao zimepata kuiva.’” (Ufunuo 14:17, 18, NW)
-
-
“Babuloni Mkubwa Ameanguka!”Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Huyo malaika anaamriwa aanze kazi yake kwa ujumbe unaowasilishwa kupitia malaika mwingine ambaye “akaibuka kutoka madhabahu.” Uhakika huu ni wa maana sana, kwa kuwa nafsi zenye uaminifu zilizokuwa chinichini ya madhabahu zilikuwa zimeuliza: “Ni mpaka lini, Bwana Mwenye Enzi Kuu mtakatifu na wa kweli, wewe unajizuia usihukumu na kulipiza kisasi damu yetu juu ya wale ambao wanakaa juu ya dunia?” (Ufunuo 6:9, 10, NW) Kwa kuvunwa kwa huu mzabibu wa dunia, kilio hiki cha kutaka kisasi kitatoshelezwa.
-