Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kazi za Yehova—Kubwa na za Ajabu
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • “Na mimi nikaona kilichoonekana kuwa kama bahari ya kioo yenye kutangamana na moto, na wale ambao hutoka wakiwa washindi wa hayawani-mwitu na mfano wake na nambari ya jina lake wakisimama karibu ya bahari ya kioo, wakiwa na vinubi vya Mungu.”—Ufunuo 15:2, NW.

      5. Ni nini inayotolewa picha na “bahari ya kioo yenye kutangamana na moto”?

      5 “Bahari ya kioo” ni ile ile ambayo Yohana aliona mapema zaidi, ikiwa mbele ya kiti cha ufalme cha Mungu. (Ufunuo 4:6, NW) Inafanana na “bahari ya kuyeyushwa,” au chombo cha kuwekea maji cha hekalu la Solomoni, ambamo makuhani walipata maji wajisafishe wenyewe. (1 Wafalme 7:23, NW) Hivyo hiyo ni kiwakilishi kizuri cha “mwosho wa maji,” yaani, Neno la Mungu, ambalo Yesu hutumia kusafisha kundi la kikuhani la Wakristo wapakwa-mafuta. (Waefeso 5:25, 26; Waebrania 10:22, NW)

  • Kazi za Yehova—Kubwa na za Ajabu
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • 6. (a) Ni nani walio waimbaji wanaosimama mbele ya bahari ya kioo, na sisi tunajuaje? (b) Ni katika njia gani wao ‘wametoka wakiwa washindi’?

      6 Uhakika wa kwamba bahari ya kuyeyushwa katika hekalu la Solomoni ilikuwa ya kutumiwa na makuhani huonyesha kwamba wale waimbaji wanaosimama mbele ya bahari ya kioo ya kimbingu ni wa jamii ya kikuhani.

  • Kazi za Yehova—Kubwa na za Ajabu
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • 7. Kinubi kilitumiwaje katika Israeli wa kale, na kuwapo kwa vinubi vya Mungu kwapasa kutuathirije sisi?

      7 Washindi washikamanifu hawa wana vinubi vya Mungu. Katika hili, wao wako kama Walawi wa hekalu wa kale, ambao waliabudu Yehova kwa wimbo kwa kufuatanisha na vinubi. Baadhi yao walitoa unabii kwa kufuatanisha na kinubi. (1 Nyakati 15:16; 25:1-3)

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki